Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 9,869
- 32,712
Nami nimeshangaa sana hiki kitu, refa mfano ile Offside anaenda kuangalia VAR na kuna watu kwaajili hiyo. Kosa la refa wameliona lipi. Waache lawama, bora Yanga lile lilikuwa goal si hili la offside kabisa.Yanataka kumwangushia lawama refa. Typical loser mentality! 🚮