😂😂kwa mwasibuLeteni ratiba ya kutembeza kombe. Tunaanzia IKULU ya Zanzibar halafu........
Anhaa hapo sawaNachangamsha genge tu.
Orange na kijani zinafanana😂Jamani kuna habari gani humu eti. 🤣🤣
😅ASE MKUU MATUMAINI YANAEZA KUTOA ROHO YA MWANADAMU..UHALISIA UKO HIVI SIMBA ASINGEKAA KUSHINDA HII MECHITufunge kiatu au 😤
Unanufaika nini sasa? Huna tofauti na refa.Ahsanteni madunduka, kwa kutukaribisha kwenye uzi wenu. Tulikuwa sambamba kuwasindikiza Berkane wachukue Ubingwa. Hatimaye kombe tunalo na tunatamba nalo...
#Berkane Bingwa 🏆
#The Orange Boyz
🧡🧡🧡🧡🧡🧡🧡🧡
Hi ni sahihiSimba kafanyiwa ukandamizaji wa kila aina.
Wanafiki mnatoka mashimoni...mashabiki ya yanga yamemikera sanaHuwezi mzuia mbwa kubwekaa chakufanya ni kumrushia 🍖🍗🍖🍗 kumnyamazisha mdomoooooo 🦁🦁🐒🐒🐒🐒🐒🐒🐒🐒🐒🐒🐒🐒🐒🐒🐒
Hurrayyy Berkane hurrrrraayyyyyyyyy 🤍🧡🤍🧡🤍🧡🤍🕺🕺🕺🕺🕺🕺💪