Baada ya lile goli la pili la Simba lililokataliwa, waliosema ushindi wa Simba umempaisha Damia kimataifa, sahizi baada ya Simba kufungwa wanasemaje?
Tuamini kuwa kufungwa kwa Simba kumemwaibisha Samia kimataifa?
Tuache huu uchawa, tutembee kwenye ukweli.
Tuamini kuwa kufungwa kwa Simba kumemwaibisha Samia kimataifa?
Tuache huu uchawa, tutembee kwenye ukweli.