Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 33,225
- 83,181
Ahahah leo njaa sina mbona kwa raha hiziUtapika tu.
๐๐ค๐๐ค๐ ๐ฎ๐ฆ๐๐ญ๐ข๐ค๐ข ๐๐๐RS BERKANE ANABEBA UBINGWA
Hahahaha
Wuhuuu!Haya Utopolo endeleeni kushangilia kwa nguvu zote, Tabia za kimaskini - kwamba bora wote tukose.
๐๐๐๐๐๐๐View attachment 3345466
Hili tunabeba! Mmesumbua sana lakini mmeelekea Qibla wenyewe.
Rudini na medani sasa mtulie.