Simba 1-1 RS Berkane| Agg: Simba 1-3 RS Berkane | RS Berkane Bingwa CAFCC 2024/205

Simba 1-1 RS Berkane| Agg: Simba 1-3 RS Berkane | RS Berkane Bingwa CAFCC 2024/205

Hongereni Simba SC 🦁🦁kwa hatua mliyofikia, Siyo mbaya. Mmepambana Sana lakini upande haukuwa wenu.
 
🦁🦁 mwendo wameumaliza 🐒🐒🐒🐒🐒🐒🐒🐒



Nikabandike mandondo yangu Sasa🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️!


Cc Smart911
Yatie nazi ikoleee
 
Nina furaha sana Mkuu, karibu vinywaji. Unatumia kinywaji gani?
Refa tunaye, kombe tunalo na tunatamba nalo.

#Berkane Bingwa 🏆
🧡🧡🧡🧡🧡🧡🧡🧡🧡
Situmii kinywaji cha mtu mwenye roho za ubinafsi. Kwani tungechukua wewe ungepungukiwa na nini?

SimbaSC NguvuMoja
 
Uwanja wamechagua wao, refa mwarabu wao jirani, wakahakikisha kadi nyekundu, na kumuondoa kocha uwanjani
20250517_222200.jpg
 
Pyeee kodi zetu zime pona pimbi ina tangaza kutoa ml 200 😂😂😂pyeee
 

Attachments

  • Fu1LOicX0AEtuRK.jpeg
    Fu1LOicX0AEtuRK.jpeg
    24.8 KB · Views: 21
Back
Top Bottom