Simba 1-1 RS Berkane| Agg: Simba 1-3 RS Berkane | RS Berkane Bingwa CAFCC 2024/205

Simba 1-1 RS Berkane| Agg: Simba 1-3 RS Berkane | RS Berkane Bingwa CAFCC 2024/205

Bantu Lady we cheka tu mwana Yanga mwenzangu.

mdogo wako Kalpana leo kapotea haonekani huko aliko sijui ana hali gani 🤣🤣 akirudi tumchokoze kidogo sio kwa kujisifu huko
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 huwa hatokei kabisa huyo mrembo Kalpana atakuja kesho kutwa. Tumpe pole sana. Shemeji asitoke pembeni yake. Muda huu atakuwa analia.
 
Mbwa ninyi ,mpo kushabikia upuuzi tu .Ndio maana ccm inaendelea kuongoza maiti hizi , mambo ya msingi hamna ila upuuzi sasa ,ndio trending headlines
 
Ile kata ngebe namna wana Simba wanavyoisikia Shadeeya
 

Attachments

  • Screenshot_20241013_050841_Instagram.jpg
    Screenshot_20241013_050841_Instagram.jpg
    135 KB · Views: 24
Back
Top Bottom