Simba 1-1 RS Berkane| Agg: Simba 1-3 RS Berkane | RS Berkane Bingwa CAFCC 2024/205

Simba 1-1 RS Berkane| Agg: Simba 1-3 RS Berkane | RS Berkane Bingwa CAFCC 2024/205

download (3).jpg
 
Man of the match Budo kama Budo Mutale.
 
Kwa matokeo yeyote siwez walaumu Simba ila kiukweli hii game waarabu pamoja na refa walikuj kuhakisha simba hawapati utulivu wowote mchezoni walijua kabisa bila hivyo kombe hawezi chukulia kwenye ardhi yetu. Plan ya kwanza ilikuwa kuhamisha uwanja na plan ya pili ni kuhakikisha kule watapoenda kucheza hawapati utulivu ila joto la Simba watakuwa wanalijua wachezaji wa Berkane.
Acha excuse za kipuuzi. Uwanja umewashinda serikali na ujinga wao kwenye kuutunza. Ulitaka CAF waupeleke tu mchezo wa fainali sehemu ambayo hata nusu fainali ilishindwa chezeka hapo?

We jifariji na majoto wenzako wanaondoka na kombe.
 
Back
Top Bottom