Bachelor OG
JF-Expert Member
- Aug 27, 2022
- 1,195
- 1,472
NdioHuku CAF hakuna Kefa Kayombo wala Tatu Mwalongo.
NdioHuku CAF hakuna Kefa Kayombo wala Tatu Mwalongo.
Hujui mpira wewemashabiki wa simba mkiona tu mmeshapigwa humu ndani mhame mapema.
Nabado tarehe Juni tutawafumua hamtaamini!Nashangaa mpo mchangani lakini makeleleee
Asalamu alaykumBasi bana
namuambia smart aniazime wewe kwa leo nishangilie ushindi..🤓Santrooo sanaaaaa 🤍🤍🤍🤍🤍🧡🧡🕺🕺🕺🤸🤸🤸😁😁
Teh teh 😃 😃 😃 wanajiandaa na supu ya Simba ..haaa haaaaa 😃😃Vyura wana rahaaaaaa wamebeba kombe.
Kajinyonge mlishazoea kubebwa na karia na kasongo mngewambia wawasaidie.Uwanja wamechagua wao, refa mwarabu wao jirani, wakahakikisha kadi nyekundu, na kumuondoa kocha uwanjani
Ukipaza sauti wewe kuhusu ufisadi inatosha.Taifa la maiti hili , hutasikia majitu yanapata sauti kuhusu ufisadi , udikteta na matumizi mabovu ya madaraka nchi hii na ukandamizaji wa haki za binadamu unaofanywa na genge la maharamia ccm ,ila linapokuja suala la upuuzi wa mipira uchwara sasa na taarifa za umbea na ushenzi mwingine usio na maana sasa
Tumekuachia wewe hayo mkuu uendelee nayo.Taifa la maiti hili , hutasikia majitu yanapata sauti kuhusu ufisadi , udikteta na matumizi mabovu ya madaraka nchi hii na ukandamizaji wa haki za binadamu unaofanywa na genge la maharamia ccm ,ila linapokuja suala la upuuzi wa mipira uchwara sasa na taarifa za umbea na ushenzi mwingine usio na maana sasa