Anzisha na wewe forum Yako upange cha kuandika.
Labda mniuweeeeeeeeeeeee!!!namuambia smart aniazime wewe kwa leo nishangilie ushindi..🤓
Bahati mbaya yako utalia siku hiyo. Kwanza si mnagoma nyie au mmelegezaNabado tarehe Juni tutawafumua hamtaamini!
🦁🐒🐒🐒🐒🐒🐒🐒
Sijayatupa nipo nayo sambambausiyatupe maneno weye chotara wa trump
Watanzania wengi hamna akili wala sense , ninyi ni maiti na takataka kabisa , you are better dead ,hii nchi ni bora mngefukuzwa kabisa ,hamfai kuishi kwenye hii ardhi , taifa linakuwa raped left and right ,ninyi mnaona kawaida tu ,mko kwenye kujadili upuuzi as if kuna senti mnaoyoingiza kutoka kwenye huo upuuzi wenu , RubbishUkipaza sauti wewe kuhusu ufisadi inatosha.
Teh teh 😃 😃 😃 kazi kweli kweli.Naona kuna moderator Gongowazi kachenji heading kuwa ya kichamboView attachment 3345500
Haya mnayolalamikia ndio yanafanywa na kina TATU MALOGO NA KAYOMBO😂😂😂😂Yajayo yanafurahisha.
Big up Simba.
Ila refa kazingua big time.
nani kakuambia nataka ligi ni kunywa nakucheza nothing more...😅Labda mniuweeeeeeeeeeeee!!!
Hakuna mwanaume kama Smart!!
Ligi zake za kimatraifaaaaaa alooooooooooo 🗣️🗣️🗣️🗣️ !
Wathubutu waone, timu wamepeleka uwanjani wenyewe 😂"Mtu yeyote akijaribu kutuzuia tutamfanya vibaya "haya refa huyo hapo mfanyeni vibaya
mwizi nae kaibiwa acha leo aone kwa namna gani maumivu yapoje.Haya mnayolalamikia ndio yanafanywa na kina TATU MALOGO NA KAYOMBO😂😂😂😂