Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,977
- 67,600
Niitieni Mzee wa kupambania
Huyu atakuwa ni Melo mwenyewe. Hakuna mod smart hivi ,🕺🏾🕺🏾🕺🏾🕺🏾🕺🏾Mods umetisha saaana.
Title imekuwa ya kiumbeaTeh teh 😃 😃 😃 kazi kweli kweli.
Sasa tusubiri mfululizo wa nyuzi kutoka kwa kina Labani og na genge la vyura kutuchamba.....haaa haaaaaaaaa..🤣🤣🤣
Husikii kelele za vyura wamebeba kombe?Mbona kuna usalama leo hakuna kelele
Tuna amani sanq kwani mtani kombe ulitaka uweke wapi? 😂Yanga wanavyoshangilia utafikiri wao ndio Barkene
Sisikii hapa nipo natembea ila sisikii kelele wala kupayuka ila naona wekundu wanatembea vichwa chini 😂Husikii kelele za vyura wamebeba kombe?
Kumbe hujiamini hivoooo mwanayanga Gani muogaa 😁😁😁😁😂😂😂😂😂 !!nani kakuambia nataka ligi ni kunywa nakucheza nothing more...😅
Mchawi kafiwa😂mwizi nae kaibiwa acha leo aone kwa namna gani maumivu yapoje.
Angalia usije ukafa mapema kwasababu ya umaskini wako unataka kila mtu awe nao.Watanzania wengi hamna akili wala sense , ninyi ni maiti na takataka kabisa , you are better dead ,hii nchi ni bora mngefukuzwa kabisa ,hamfai kuishi kwenye hii ardhi , taifa linakuwa raped left and right ,ninyi mnaona kawaida tu ,mko kwenye kujadili upuuzi as if kuna senti mnaoyoingiza kutoka kwenye huo upuuzi wenu , Rubbish
Kila nikitafakari hii nchi napata hasira sana ,
Mchawi kafiwamwizi nae kaibiwa acha leo aone kwa namna gani maumivu yapoje.
Atalia au atakaa kimya 😂Mchawi kafiwa😂
Kisa....Nna furaha saaaana.
Mod mfanyakazi wa GSM.Mods umetisha saaana.