Simba 1-1 RS Berkane| Agg: Simba 1-3 RS Berkane | RS Berkane Bingwa CAFCC 2024/205

Simba 1-1 RS Berkane| Agg: Simba 1-3 RS Berkane | RS Berkane Bingwa CAFCC 2024/205

Kumbe hujiamini hivoooo mwanayanga Gani muogaa πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ !!

Hurrrrraayyy BerkaneeeeeπŸ€πŸ§‘πŸ€πŸ§‘πŸ€πŸ§‘πŸ€πŸ§‘πŸ€πŸ•ΊπŸ•ΊπŸ•ΊπŸ•ΊπŸ•ΊπŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺ
Mh! sitaki tu mvunjia heshima...πŸ˜ƒ
 
Taifa la maiti hili , hutasikia majitu yanapaza sauti kuhusu ufisadi , udikteta na matumizi mabovu ya madaraka nchi hii na ukandamizaji wa haki za binadamu unaofanywa na genge la maharamia ccm ,ila linapokuja suala la upuuzi wa mipira uchwara sasa na taarifa za umbea na ushenzi mwingine usio na maana sasa,midomo kama chiriku .
Fools
Ufisadi pambana nao wewe!

Lazima kuwe na mgawanyo wa majukumu!

Shenzy typ!
 
Sisikii hapa nipo natembea ila sisikii kelele wala kupayuka ila naona wekundu wanatembea vichwa chini πŸ˜‚
images - 2025-05-25T182627.937.jpeg
 
Yanga wanavyoshangilia utafikiri wao ndio Berkane
Ndiyo sisi Berkane. Kombe tumenyanyua. Tuna raha, hapa tunashangilia kwenye ardhi yenu. Tulipeleke nyumbani Morocco, huko tumechinja ng'ombe 1000 za kuanzia. Karibuni sana Casablanca.

#Berkane Bingwa πŸ†
🧑🧑🧑🧑🧑🧑🧑🧑
 
tunabeba
 

Attachments

  • Screenshot_20250525-182726_WhatsAppBusiness.jpg
    Screenshot_20250525-182726_WhatsAppBusiness.jpg
    193.2 KB · Views: 14
Amenyolewa wapi, maana kama ni sharubu wala hainogiπŸ˜…πŸ˜…
 
Back
Top Bottom