Holoholo
JF-Expert Member
- May 10, 2023
- 8,723
- 19,715
Wakuu,
RS BERKANE ni mabingwa wa kombe la shirikisho msimu huu wa mashindano wa 2024/25
Hakika walistahili, kwani toka hatua za awali mpaka final walionesha nia na moyo wa kulitaka kombe hili.
ni dhahiri timu hii iliwekeza kiufundi,kimbinu,kifedha na kila kona kuhakikisha wanakuwa mabingwa wa kombe hili
ni wazi timu hii imetupa somo namna gani tuwekeze kiufundi,kifedha na kimbinu ili kufikia mafanikio makubwa ikiwemo kuchukua kombe hili lenye thamani kubwa barani humu!
Poleni watani,na hongereni RS BERKANE.