Uliangalia mpira Kaka au unafuatilia mtandaoni tu
😆😆😆😆😆Na madunduka wana kombe lao 😂View attachment 3345551
Ahaha kasheshe leo kikowapiRatiba ya Mnyama Simba Baada ya Kutwaa Kombe la Afrika CAF Hapo Jumapili
1. Jumatatu Kombe litapelekwa Ikulu ya Rais Hussein Mwinyi Zanzibar
2. Jumanne Kombe litapanda Ndege Kuelekea Dar es Salaam na Kufikia Ikulu ya Rais Samia Suluu Hassan
3. Jumanne Hiyo Hiyo Kombe litaelekea Makao Makuu ya Msimbazi na Kulala Hapo Hapo na Mkesha Mkubwa Mnooooo
4. Jumatano Kombe litaelekea Bungeni Dodoma
5. Alihamisi Kombe litaelekea Chato Kwa Hayati John Pombe Magufuri
6. Ijumaaa Kombe litalejea Dar es Salaam. na Kupelekwa Makao Makuu ya TFF. Kisha Kulejea Msimbazi Kusubili Ratiba zingine
NA HUU NDO UBAYA UBWELA WETU MSIMU HUUU 🔥🔥💪
Man of the matchKipindi cha kwanza alifosi sana GG itoe ili mkeka utiki mapema lakini Berkane wakakutana na upinzani mkubwa.
Second half alipoona Berkane wanashambuliwa akaona atoe kaniki.
View attachment 3345534
Nimeangalia kwani mlishinda 2 :0Uliangalia mpira Kaka au unafuatilia mtandaoni tu
We nae ndo unitajie hadi mwaka lione...🤣Kabeeeeeeeeeeeesa!!
Together Forever and alwayssss since 2016 hiooooooo! 🤞✌️✌️✌️
Kabisa kabisa...Kombe walilobeba madunduka😆View attachment 3345587
Hamna kitu kivipi bwana sii alikupiga kwake bwanaShida si kuonewa, je unaonewa je? Waarabu hamna kitu pale.
Niliona. Jeshi la vyura limejikita hadi ndani ndani huko kwa viongozi wazito.