Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,767
- 54,912
Huoni za ligi kuu huwa tunashindaLaumu uwe unashinda wakati mwingine basi. Wewe kila siku lawama tu? Halafu hushindi?
Huoni za ligi kuu huwa tunashindaLaumu uwe unashinda wakati mwingine basi. Wewe kila siku lawama tu? Halafu hushindi?
Walitoa kabisa na ratiba ya kuzungusha kombe 😂😂
Walipata goli likakataliwa wapo chaap awa kama upepo katika kupost
Haha mkuu umejichanganya, hapo nadhani millard aliweka utabiri maana hamna kale ka FT wala HT.Natuknwa uoni jamaa yangu
Ahahah leo TZ ipo salama hakuna kelele jana tuMelala kwa shida sanaView attachment 3345644
Mwarabu hajui hilo, yeye anahakikisha wanalala njaa hapa hapa kwao dadeki😁😁😁 haya sasa wabebe kombe la uji.
Kabisa wakajua ni yule refa wao walio mzoeaWalipata goli likakataliwa wapo chaap awa kama upepo katika kupost
Ahahah sio utabiri embu angalia vzrHaha mkuu umejichanganya, hapo nadhani millard aliweka utabiri maana hamna kale ka FT wala HT.
Huyu Refa alikataa goli letu halali Sauzi wakacheka Leo wanalia Zanzibar 😀😀😀Kabisa wakajua ni yule refa wao walio mzoea
😂😂Huyu Refa alikataa goli letu halali Sauzi wakacheka Leo wanalia Zanzibar 😀😀😀
ndio maana nishaachaga kumfollowAhahah sio utabiri embu angalia vzr
Naomba namba yake.
Nyimbo nzuri mno.Sio leo toka zamaniii,mnyama hana mpinzani x2
🎵🎵🎵🎵🎵🎵🎵🎵🎵🎵
Hatukamatikikiiii hatushikikikiiii...😂😂😂
kmmk leo mmekamatika!