Simba 1-1 RS Berkane| Agg: Simba 1-3 RS Berkane | RS Berkane Bingwa CAFCC 2024/205

Simba 1-1 RS Berkane| Agg: Simba 1-3 RS Berkane | RS Berkane Bingwa CAFCC 2024/205

Kuna wakati Moderator Active aliandika Simba yanyolewa. Kiukweli tuna maadui wengi sana kuanzia CAF mpaka Wakuu wa JF
d6be7de52e0a47fb8107f8d4cf74bf6f.jpg
 
Acha excuse za kipuuzi. Uwanja umewashinda serikali na ujinga wao kwenye kuutunza. Ulitaka CAF waupeleke tu mchezo wa fainali sehemu ambayo hata nusu fainali ilishindwa chezeka hapo?

We jifariji na majoto wenzako wanaondoka na kombe.
Wew ni chura wa njan bila shak na hujawah kumiliki akili hata robo.
 
Yaani kama ni kuonewa leo Simba wameonewa. Hizi timu zetu zijifunze haka ka mchezo ka kuhonga maana Yanga nao imewakuta mara kadhaa. Simba hapa nyumbani wanahonga sasa sijui wameshindwa nini kujiongeza fainali, huenda wapinzani wametoa pesa ndefu zaidi.
 
Ratiba ya Mnyama Simba Baada ya Kutwaa Kombe la Afrika CAF Hapo Jumapili

1. Jumatatu Kombe litapelekwa Ikulu ya Rais Hussein Mwinyi Zanzibar

2. Jumanne Kombe litapanda Ndege Kuelekea Dar es Salaam na Kufikia Ikulu ya Rais Samia Suluu Hassan

3. Jumanne Hiyo Hiyo Kombe litaelekea Makao Makuu ya Msimbazi na Kulala Hapo Hapo na Mkesha Mkubwa Mnooooo

4. Jumatano Kombe litaelekea Bungeni Dodoma

5. Alihamisi Kombe litaelekea Chato Kwa Hayati John Pombe Magufuri

6. Ijumaaa Kombe litalejea Dar es Salaam. na Kupelekwa Makao Makuu ya TFF. Kisha Kulejea Msimbazi Kusubili Ratiba zingine

NA HUU NDO UBAYA UBWELA WETU MSIMU HUUU 🔥🔥💪
Maneno ya kwenye khanga
 
Ndiyo sisi Berkane. Kombe tumenyanyua. Tuna raha, hapa tunashangilia kwenye ardhi yenu. Tulipeleke nyumbani Morocco, huko tumechinja ng'ombe 1000 za kuanzia. Karibuni sana Casablanga.

#Berkane Bingwa 🏆
🧡🧡🧡🧡🧡🧡🧡🧡
🤣🤣 lile bao lililokataliwa sijui mlikuwa katika hali gani kabla ya refa kucheki VAR
 
Back
Top Bottom