Vyura wataita press kwa kulibeba hili kombe nakwambia. Kesho parade.Hahaha.Teh teh 😃 😃 😃 wanajiandaa na supu ya Simba ..haaa haaaaa 😃😃
Unatafuta ban kwa nguvu sio. Sasa hupigwi ban.Naona kuna moderator Gongowazi kachenji heading kuwa ya kichamboView attachment 3345500
Takataka kabisaUkipaza sauti wewe kuhusu ufisadi inatosha.
Kabiiiiiiiiiiiiiiiisa rafikiiiii😁😁Yaani leo tunalala unono kabisa
Mtani kwani hamjanyolewa. 🤣🤣Naona kuna moderator Gongowazi kachenji heading kuwa ya kichamboView attachment 3345500
SureFAINALI isharibika
Anzisha na wewe forum Yako upange cha kuandika.Naona kuna moderator Gongowazi kachenji heading kuwa ya kichamboView attachment 3345500
Keyboard warrior.Takataka kabisa
HeeInatakiwa watu waamke na kifo cha refa asubuhi.
Manara na Kamwe wamepata cha kusema teh teh teh 😃 😃 😃 😃 hapo watasema mwezi mzima...Vyura wataita press kwa kulibeba hili kombe nakwambia. Kesho parade.Hahaha.
Kiko wapi? Poleni sana 😂Daah! Unakabia juu sana kama Che Malone
Gongowazi ni jina lenu rasmiUnatafuta ban kwa nguvu sio. Sasa hupigwi ban.
Unaniudhigi mzee mwenzangu nikikwambia uje PM hujagi dah! Kama leo hii furaha naipeleka wapi sasa dah!Sisi tucheze mziki tu mzee mwenzangu. 🤣🤣