Au labda jamaa anajua apdates ni pesa za nchi flani ya ulaya[emoji23].maana keshalilia hizo apdates mpaka huruma.
Bora mimi bata mzinga maana ntakunyea maana mdomo wangu mchafuBata mzinga wewe kafie huko
Pori la msituni kulee kwako hahahhahaAna mambo ya kitoto sana sijui katokea pori gari
Jamaa anaboa sana kutuletea utopolo wa kiccm kwenye Simba,shame on himHakika tamasha limependeza saana.Doa pekee ni pale mdosi (MO ambaye ndiye Muwekezaji mkuu wa Club ya Simba) kama kawaida yao (wadosi) na heshima ya unafiki na uwoga alipotaka kuleta siasa wakati akimtambulisha mgeni rasmi Mh. Zungu (aliyekuwa Mbunge wa Ilala CCM) kwa kumfanyia kampeni na kama haitoshi akaendelea kwa kumfanyia pia kampeni Rais Magufuli. Lakini kwa kuwa washabiki wengi wa Simba ni watu makini na wasioendekeza upuuzi wa ugabochori wakampa za uso kwa kumchunia pale aliposema Magufuri oyeeee. Kama ana akili atakuwa amenyooka kwani inaoneka baada ya kupigwa "spana" katika hizi siku mbili zilizopita kuhusu wapi zilipo 20bil alizotakiwa kulipa kabla kuinunua Simba na sio baada ya kuanza kunufaika na Simba inaonekana amekuwa akitafuta kila aina ya "Platform" ya kumuunga mkono hasa mamlaka za juu kwa kujipendekeza ili kuweka mambo yake sawa
Jamaa anaboa sana kutuletea utopolo wa kiccm kwenye Simba,shame on him
Mbona Erasto alikuwa benchi ?Nadhani anacheza hivi sababu pale nuyuma anakosekana Wawa leo back line haijatimia yeye anacheza Kama kiraka leo
Sawa Mkuu, ila tumewafumua sana au ndyo uwezo tulionao kwa sasa Simba?Al ahly waligoma kwa sababu ya kuofia Covid-19.ila Vital'O na Al ahly awajapishana saana kiuwezo.
Ngoja niitafute ila katubore saanaWeka video.otherwise tutakuchukulia unasambaza uzushi
Weka video.otherwise tutakuchukulia unasambaza uzushi
Vipi Mshauri Mkuu wa Timu Paulo Makonda alikuwepo ?
Majeruhi huyo alionekana tu kwenye benchi kwasababu ya utambulishoMbona Erasto alikuwa benchi ?
Wewe Yanga ulimaliza nafasi ya ngapi na tukakulamba 4Vitalo wamemaliza ligi nafasi ya sita tena ligi ya Burundi, mbumbumbu fc msijidanganye msipo angalia mtatolewa tena Raundi ya kwanza katika mashindano ya Caf.
HOFU!Hajaomba wala nini, kaishia kukausha ila kajishtukia maana baada ya kutamka hivyo amekosa kabisa control ya utangazaji