Simba Day: Simba SC yaisambaratisha Vital-O 6-0

Simba Day: Simba SC yaisambaratisha Vital-O 6-0

Kuna karedio nasikiliza hapa, wakati limefungwa goli la pili na B M nikasikia mtangazaji akisema kwa sauti kali ,ni niyeeee, ni yeyeeee [emoji22]
 
Wachezaji wazawa goli 2.wachezaji wa kigeni 3.
hapa sasa inabidi tushindanishe kwa magoli wachezaji wepi watapata magoli mengi wazawa na wageni ndani ya Simba.
maana vital'O washatubu.
 
Hahaha hahaha Simba weeeee huko jangwani kuna hali gani tupeni habari.
 
Hivi hao Namungo hilo kombe la ngao ya Hisani si watuachie tu hivi hawaoni kipigo anachopata bingwa wa Burundi hapa?
 
Back
Top Bottom