Dam55
JF-Expert Member
- Oct 8, 2015
- 5,641
- 11,958
Yule Simba damu mkuuWawa yuko makini sana afu anauchungu na timu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yule Simba damu mkuuWawa yuko makini sana afu anauchungu na timu
Jamaa analilia apdates.hiii,,,maweeee.
Lazima achangamke la sivyo benchi litamuhusu.Ajibu leo mnamuonaje wadau?
We yanga mwenzangu?Yaa burudani ipo, Kuna huyu Bwalya Ni fire, Kuna mugalu sijamwelewa, yule beki wa kesho Ni nyoka asiye na Simu. Lakini Simba hii bado haina tofauti na ya msimu mpya. Tunasubiri wakae pamoja ili timu iwe fire zaidi, lengo Ni kupunguza zile hamsa tukikutana na Wydad.
Anajitahidi sana leo na inabidi apambane la sivyo fagio litamkutaAjibu leo mnamuonaje wadau?
Msimu ulioisha jamaa mechi alizocheza ni zakuhesabika sanaLazima achangamke la sivyo benchi litamuhusu.
Mi Yanga Ndio. Wala haina kubisha.We yanga mwenzangu?
Basi tupozi tuangalie mabingwa wetu wanavyo tuwakilisha nchi yetu japo walitufungaMi Yanga Ndio. Wala haina kubisha.
Let's picha za watu wakiwa Uhuru Kama zipo.Kubali tu ukweli sio kila mwaka Ni sawa.
SawaBasi tupozi tuangalie mabingwa wetu wanavyo tuwakilisha nchi yetu japo walitufunga
Gooooooool banana choooooopAjibuuuuu
Mchezaji wetu kutoka yanga kafunga goli na nadhani goli lake ndio litakua goli boraSawa