Simba Day: Simba SC yaisambaratisha Vital-O 6-0

Simba Day: Simba SC yaisambaratisha Vital-O 6-0

Hii team ya Burundi mbona kama nimeanza kuwa na wasiwasi nayo?

wangetuletea Al ahly babeqie
 
Kesho jumapili mtembelee mahospitalini kuona wagonjwa wa presha jamani.
mjitahidi sana kunawatu wamelazwa usiku huu.
 
Hii team ya Burundi mbona kama nimeanza kuwa na wasiwasi nayo?
wangetuletea Al ahly babeqie
Covd19 imesababisha ugumu wa kupata timu. Hata hivyo kule Egypt ligi ndio kwanza imechanganya baada ya kusimama, si rahisi kupata timu kwa sasa hivi
 
Wewe unazingua tu,ulisema upo insta kwa ajili ya updates na kuponda JF wakati ni sehemu kila mtu anaweka updates, grow up basi acha utoto
We Bwenyenye hata hunielewi. Nakupotezea tu.
So nikiwa insta. Nisiingie JF??!!
Wakati na naijua JF wewe ulikua unafungwa pampus. So potezea kwanza mpira huujui weee. Fuata upepo tu
 
Hakika tamasha limependeza saana.Doa pekee ni pale mdosi (MO ambaye ndiye Muwekezaji mkuu wa Club ya Simba) kama kawaida yao (wadosi) na heshima ya unafiki na uwoga alipotaka kuleta siasa wakati akimtambulisha mgeni rasmi Mh. Zungu (aliyekuwa Mbunge wa Ilala CCM) kwa kumfanyia kampeni na kama haitoshi akaendelea kwa kumfanyia pia kampeni Rais Magufuli. Lakini kwa kuwa washabiki wengi wa Simba ni watu makini na wasioendekeza upuuzi wa ugabochori wakampa za uso kwa kumchunia pale aliposema Magufuri oyeeee. Kama ana akili atakuwa amenyooka kwani inaoneka baada ya kupigwa "spana" katika hizi siku mbili zilizopita kuhusu wapi zilipo 20bil alizotakiwa kulipa kabla kuinunua Simba na sio baada ya kuanza kunufaika na Simba inaonekana amekuwa akitafuta kila aina ya "Platform" ya kumuunga mkono hasa mamlaka za juu kwa kujipendekeza ili kuweka mambo yake sawa
 
Vitalo wamemaliza ligi nafasi ya sita tena ligi ya Burundi, mbumbumbu fc msijidanganye msipo angalia mtatolewa tena Raundi ya kwanza katika mashindano ya Caf.

Yanga mutaenda kubeba Ubingwa!
Uto kama Uto
 
Back
Top Bottom