Vitalo wamemaliza ligi nafasi ya sita tena ligi ya Burundi, mbumbumbu fc msijidanganye msipo angalia mtatolewa tena Raundi ya kwanza katika mashindano ya Caf.
Huyu LARRY BWALYA Huyu mmmmh.
Hivi hao Namungo hilo kombe la ngao ya Hisani si watuachie tu hivi hawaoni kipigo anachopata bingwa wa Burundi hapa?
mnaulizwa Yanga alipigwa 4 alikuwa nafasi ya ngapiInaonekana watu wa Simba mna tatizo la kupashwa habari za kimataifa. Vital' O ya Burundi sio bingwa na hata kwenye top 5 ya msimamo wa Ligi iliyoisha haipo yaani kibongo bongo = na Alliance ya Mwanza.
Tumekutana mara 3Kwani Depotivo de la Utopolo walio pigwa 4G walinunuliwa sh ngapi?
mnaulizwa Yanga alipigwa 4 alikuwa nafasi ya ngapi
Kama wewe uko vizuri uliruhusuje kupigwa nne? Yani wewe umepigwa nne alafu unawaita wenzako vibonde wakati na wewe ndio wale wale?Tumekutana mara 3
Tumeshinda moja
Mkashinda moja
Tukasuluhu moja
Mechi mliyotufunga tayari mlikua mmemlaghai Tshishimbi na Morrison wakaiua team katikati kukawa kumepwaaya. Kwa uwekezaji (kama mnavyodai tho sijaona kilichowekezwa) hamkustahili kufungwa wala kudraw na Yanga ile.
Hakuna mtu aliwalaghai wachezaji wenu malaghai ni nyinyi mlio wapachikia mikataba fake alafu mlivyo wajinga yani mtu mmebambikia mkataba alafu mnaenda kumpanga mechi kubwa kama ile mnategemea nini hapo?Tumekutana mara 3
Tumeshinda moja
Mkashinda moja
Tukasuluhu moja
Mechi mliyotufunga tayari mlikua mmemlaghai Tshishimbi na Morrison wakaiua team katikati kukawa kumepwaaya. Kwa uwekezaji (kama mnavyodai tho sijaona kilichowekezwa) hamkustahili kufungwa wala kudraw na Yanga ile.
Kama wewe uko vizuri uliruhusuje kupigwa nne? Yani wewe umepigwa nne alafu unawaita wenzako vibonde wakati na wewe ndio wale wale?
Kama hao ni vibonde sawa nyie si mmezindua wiki ya mwananchi haya tualikeni tucheze nanyi kwenye tamasha lenu kama tuone nani alikuwa kibonde kati na Vital'O
Sasa nialike Utopolo wa kazi gani mimi si aheli ualike Namungo kwa hapa bongo au Azam angalau wanaweza kutoa changamoto, ndio mana tulikuwa tunataka timu Kama Al Ahaly huko mana team za ukanda huu wote kwa Simba ni vibonde tu pamoja na hao wazee wa 4G.Wewe mbona hukutualika?
Kwani sisi tulivyowabandika 1 mlikua nafasi ya ngapi nasisi yangapi ?
Kwa sababu tunawajua ni vibonde.Wewe mbona hukutualika?
Tumekutana mara 3