Nyamizi
Platinum Member
- Feb 19, 2009
- 9,186
- 13,757
Vitalo wamemaliza ligi nafasi ya sita tena ligi ya Burundi, mbumbumbu fc msijidanganye msipo angalia mtatolewa tena Raundi ya kwanza katika mashindano ya Caf.
Tafuta kivuli kaa chini pumzika,kunywa na maji ya bariiidi,upunguze hasira! Utopolo leo mishipa ya shingo imewatoka kwa hasira,hamuamini mnachokiona!