Simba itapeleka timu Uwanjani tayari kwa mechi na Yanga

Simba itapeleka timu Uwanjani tayari kwa mechi na Yanga

Nawaonea huruma wanaotoka mikoani,muda na hela walizotumia kuja angalia game na bado mechi ipo/haipo.
Hapa kuna kuharibiana mapato vs mind games vs visasi vs sheria.
Haya waliofanyiwa simba ndio waliokua wakifanyiwa na muarabu wakienda cheza huko na hata caf hajawahi fanya lolote.
Tukitumia umbumbumbu wa neno ustaarabu watu wataenda lkn wakienda kisheria game hakuna
 
Unaeleza kama vile ulikuwepo ukaona yamefungwa! Anyway, tusubiri maamuzi
Wewe ulikuwepo kuona kwamba yalifunguliwa? Meneja wa uwanja hakuwana taarifa ya 51mba kufanya mazoezi muda ule, sasa;
1. Taa angewawashia nani?
2. Milango angewafungulia nani?
3. Halfu basi lililobeba wazee lilikwenda kufanya nini?
 
Hilo la wazee halipo kwenye kanuni. Hilo la mazoezi ndio la kujadili kikanuni
 
Kamishna ambaye ndio anatakiwa ampe taarifa meneja, alifika hadi eneo la tukio na akampa taarifa meneja. Meneja akatoa ruhusa, wahuni wakazuia. Tafuta habari, acha kubweteka
Mageti yalifunguliwa?
 
Back
Top Bottom