Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 23,566
- 24,891
Unaeleza kama vile ulikuwepo ukaona yamefungwa! Anyway, tusubiri maamuziYanga hawajamzuia mtu kufanya mazoezi. Kwani mageti yalikuwa wazi, kwamba Yanga walisimama magetini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaeleza kama vile ulikuwepo ukaona yamefungwa! Anyway, tusubiri maamuziYanga hawajamzuia mtu kufanya mazoezi. Kwani mageti yalikuwa wazi, kwamba Yanga walisimama magetini?
Twende nao tu hivyo hivyo rafiki sababu mwisho wa siku siku zote wahusika wakuu tunakuwaga sisi sisi Timu vigogo na ndio sababu saa ingine hata hatua stahiki hazichukuliki sababu ya kuoneana muhali.Rafiki mpira wenu huwa siuelewi
Magoli ana matatzo ya akili kama mashabiki wengi wa huko dar es salaam walivyoMagori kasema sio mechi tu Hadi ligi hawachezi mpk takataka ziadhibiwe
Wewe ulikuwepo kuona kwamba yalifunguliwa? Meneja wa uwanja hakuwana taarifa ya 51mba kufanya mazoezi muda ule, sasa;Unaeleza kama vile ulikuwepo ukaona yamefungwa! Anyway, tusubiri maamuzi
Ndio ana matatizo ya akili kama ulivyosemaMagoli ana matatzo ya akili kama mashabiki wengi wa huko dar es salaam walivyo
Hilo la wazee halipo kwenye kanuni. Hilo la mazoezi ndio la kujadili kikanuniWewe ulikuwepo kuona kwamba yalifunguliwa? Meneja wa uwanja hakuwana taarifa ya 51mba kufanya mazoezi muda ule, sasa;
1. Taa angewawashia nani?
2. Milango angewafungulia nani?
3. Halfu basi lililobeba wazee lilikwenda kufanya nini?
We chakufanya nenda kamliwaze,aache kuropoka kama mashabiki uchwara wengne.Ndio ana matatizo ya akili kama ulivyosema
Mimi nifanyaje sasa
Unawekwa si bureMagoli ana matatzo ya akili kama mashabiki wengi wa huko dar es salaam walivyo
Meneja wa uwanja hakuwa na taarifaHilo la wazee halipo kwenye kanuni. Hilo la mazoezi ndio la kujadili kikanuni
We unawekwa na nani?!Unawekwa si bure
MangunguHicho chanzo muhimu ni kipi?
Hicho siwezi kufanyaWe chakufanya nenda kamliwaze,aache kuropoka kama mashabiki uchwara wengne.
Kamishna ambaye ndio anatakiwa ampe taarifa meneja, alifika hadi eneo la tukio na akampa taarifa meneja. Meneja akatoa ruhusa, wahuni wakazuia. Tafuta habari, acha kubwetekaMeneja wa uwanja hakuwa na taarifa
Mageti hayakuwa yamefunguliwa
Mageti yalifunguliwa?Kamishna ambaye ndio anatakiwa ampe taarifa meneja, alifika hadi eneo la tukio na akampa taarifa meneja. Meneja akatoa ruhusa, wahuni wakazuia. Tafuta habari, acha kubweteka
Hao wahuni wanawazid nguvu polisi?!Kamishna ambaye ndio anatakiwa ampe taarifa meneja, alifika hadi eneo la tukio na akampa taarifa meneja. Meneja akatoa ruhusa, wahuni wakazuia. Tafuta habari, acha kubweteka
'Trust me bro'Hicho chanzo muhimu ni kipi?
Sio kazi ya Simba kuchunguza nani kamzidi mwenzie nguvuHao wahuni wanawazid nguvu polisi?!
Yeah, yalifunguliwa instantly baada ya amri ya kamishnaMageti yalifunguliwa?