Simba kuanzia Hatua ya 2 CAFCL, kukutana na mshindi wa mechi kati ya Power Dynamos na African Stars

Very tough draw for simba
 
Baada ya kutoka nafasi ya sabini na Hadi kumi na nane ndani ya nsimu mmoja. Wananchi wamepangwa na timu za kawaida sana na. Game zote wanamalizia nyumbani
Mbona taarifa ipo nusu nusu.. anacheza na Nani ? Lini?
 
We mkia bila kuitaja Yanga mabingwa wa nchi husikii Raha
Unacheza shirikisho na wewe ushakuwa bingwa? Unacheza shirikisho (kombe la wachovu) unamvimbia aliyecheza champion league robo fainali?
Kama yanga alifanya vizuri kuliko Simba kwanini Yanga hayupo African Super Cup?
Sasa hivi hakuna kujilegeza ukacheze shirikisho, tubaki wote tucheze Champion league.
 
Acha niwagoogle hao ASAS
 
Hamna uwezo wa kucheza na timu za South [emoji28]
Simba anacheza na timu ambazo zipo champion league tu. Huyo Kaizer chiefs alikuwepo Champion League mpk robo fainal au aliishia kucheza mechi mbili kama utopolo? Mgecheza na Wyadad aliyemtoa Simba km mlikuwa mnataka kumuoneshea Simba
Umesikia kanuni za CAF? Mtaishia kucheza mechi mbili kama msimu uliopita?
Big Bullet alifungwa na Simba nje ndani Champion League halafu nyie mkaona mepata neema sana.
Tarehe 18 Champion League hiyo. Yanga anatamani awe mshindi wa 3 akacheze shirikisho tena, msimu ujao unaweza kushangaa Yanga anakuwa wa 3 ligi ya home akacheze shirikisho.
Yanga SuperCup anacheza?
 
Kaizer aliwakanda nyie na akamkanda Mme wenu wydad Casablanca nusu Fainali akatua Fainali ambayo hamtakuja kucheza Hadi yesu anarudi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…