Simba kuanzia Hatua ya 2 CAFCL, kukutana na mshindi wa mechi kati ya Power Dynamos na African Stars

Kaizer aliwakanda nyie na akamkanda Mme wenu wydad Casablanca nusu Fainali akatua Fainali ambayo hamtakuja kucheza Hadi yesu anarudi
Watu wanawaza Champion League na SuperCup. Wewe unawaza Shirikisho (kombe la wachovu)
Ilikuwa msimu ule kwenye kombe la wachovu. Hao Kaizer tungekutana nao Champion League wangetutambua sisi ni nani?
Timu bora na zilizofanya vizuri zinacheza African Super Cup. Yanga anacheza SuperCup?
 
Mkuu mbona maelezo mengiii SANA...Tena hayahusiani na nilichokisema[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unaweza Kuta nawe ni mwanasheria wa serekale[emoji2][emoji2]
 
Wanachi hadi hapo hakuna wakutuzuia ndio maana kwa pamoja tunasema hii imeenda.....!
 
Mkuu mbona maelezo mengiii SANA...Tena hayahusiani na nilichokisema[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unaweza Kuta nawe ni mwanasheria wa serekale[emoji2][emoji2]
Kwa hiki ulichoandika. Hauna tofauti na mwanafunzi wa darasa la pili anayejifunza kuandika. Haujazingatia kanuni za uandishi.
Kwa uandishi huu, utakuta nawe ni msomi kwenu.
Pole sana
 
Wewe ulijilegeleza kwa Makiri kiri?
 
[emoji196][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sisi UTO tunaanzia mchangani
 
Tukumbushe mtoano kati yenu na Kaizer Chiefs!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…