Simba kuanzia Hatua ya 2 CAFCL, kukutana na mshindi wa mechi kati ya Power Dynamos na African Stars

Baada ya kutoka nafasi ya sabini na Hadi kumi na nane ndani ya nsimu mmoja. Wananchi wamepangwa na timu za kawaida sana na. Game zote wanamalizia nyumbani
Hili neno "ndani ya msimu mmoja" linafanya uonekane mpumbavu, Yanga haijafika hapo kwa msimu mmoja.
 
Nguvu moja ...πŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺ....

Hatuachi kitu kutinga makundi ni lazima.
Yaani mtu anasema ni Bingwa wa Ligi lakini bado anaanzia hatua za chini kabisa 😁

Utofauti wa Timu kubwa na Ndogo ndiyo huu.

Tukutane kimataifa πŸ’ͺ

Nguvu moja πŸ’ͺπŸ’ͺ
...
 
Aloo kwa Yanga hii tuanze tu kuwaza makundi tutakutana na nani ila hapa tayari tushapenya.

Bonanza la mikia ndo litaonesha watapenya au janja janja tu.
 
Hafu utashangaa wanatolewa na hao wajibuti. Timu imefika fainali msimu uliopita ila malengo yake msimu huu ni kufika hatua ya makundi
Msimu uliopita malengo yalikua yapi na timu ikafika wapi??

Ndivyo mambo yanavyoenda kijana, hujiwekei malengo makubwa ambayo hujawahi kuyakaribia unaanza mdogo mdogo.
Mpaka hapo shirikisho tunadai kombe tu, kwa maana hiyo kama tungekua shirikisho malengo yangekua ni ubingwa tu. Lakini kwa huku kwakua bado ni wageni malengo ndio hayo na sio kua hatuwezi vuka!! Hadi fainali tunaweza kufika we subiri mkuu.
 
Kumbe mnaelewa huku ni kugumu zaidi, sasa zile kejeli za kuishia robo huwa zinatoka wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…