Mnyuke Jr
JF-Expert Member
- Jul 3, 2021
- 4,472
- 6,391
Ni kujipanga tu mkuu ila kwasasa timu ina struggle sana kupata matokeoHata CC sodhani kama tutafanya vizuri tena
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kujipanga tu mkuu ila kwasasa timu ina struggle sana kupata matokeoHata CC sodhani kama tutafanya vizuri tena
Hahahaha [emoji23][emoji23][emoji1787]Simba ni kubwa mnooooo!!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Aaaah utopolo mshaanza malalamiko. Tufanye 0-0 vipi hapo utopolo ya botswana itasonga?
Imeniuma sn asee..dahTuliwa-underrate sana
Mr utopolo nimetapika double kick zangu tatu nilizokunywa kwa mfadhaikoKiwango kimekua duni mnoo
Biashara wapumbavu si ndio eeh[emoji1787][emoji1787]Wanaume wanatoka jasho kuwapambania wengine ila wanaleta upuuzi... TFF wanaakili, wawakilishi wa Afrika Mashariki na Kati wanampa heshima inayostahili... Ni muda sasa CAF wa kuifanya Simba wacheze makudi bila kupitia mtoano....
-Kubwa jinga Uto mapema tuuu kafumuliwa nje ndani..
-Azam wamejitahidi tahidi...
-Biashara wale wapumbavu hawajielewi acha tuu wafungiwe kucheza CAF...
Itakuwa tarehe gani ?Group stage Simba tunawataka Al Ahly Esperance de Tunis.
Aah ungekata tamaa eti [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wamechomoa goli moja bado mawili, ningekua mimi ningekata tamaa tu
Sawa sawaIla hii mechi Simba anashinda vizuri tuu
Haya majibu utajibiwa mwishoni mwa msimu. Ila kwa sasa ngoja tusubirie tu vichapo kutoka timu ndogo za ndani. Zenye sifa ya kukamia mechi.Bado nashangaa Bocco, Kagere, Mugalu, Manura, Wawa, Onyango, Nyoni, Mkude wanafanya nini Simba
Safari ya Simba imeishia hapo