Simba SC 1-3 Jwaneng Galaxy FC | CAFCL | Simba yatolewa klabu bingwa Afrika

Simba SC 1-3 Jwaneng Galaxy FC | CAFCL | Simba yatolewa klabu bingwa Afrika

Binasfi huwa nachukia kushidwa....furaha yote imevurugwa....simba ilikua na chance kubwa sana ya kushinda leo ila ni uzembe wao....

Umenikumbusha kipaji changu Cha kusakata kabumbu mm niwepo dimbani hiyo timu haifungwi.....

Ni muda sasa simba kufanya scouting nzuri kuwapa virago kina wawa,kagere,boko, na kutafuta vipaji vipya damu mpya....kama kweli tunataka kua wa kimataifa....ila kama lengo ni ubingwa Tanzania bara waendelee na kina wawa
 
Wanaume wanatoka jasho kuwapambania wengine ila wanaleta upuuzi... TFF wanaakili, wawakilishi wa Afrika Mashariki na Kati wanampa heshima inayostahili... Ni muda sasa CAF wa kuifanya Simba wacheze makudi bila kupitia mtoano....

-Kubwa jinga Uto mapema tuuu kafumuliwa nje ndani..
-Azam wamejitahidi tahidi...
-Biashara wale wapumbavu hawajielewi acha tuu wafungiwe kucheza CAF...
Biashara wapumbavu si ndio eeh[emoji1787][emoji1787]
 
Bado nashangaa Bocco, Kagere, Mugalu, Manura, Wawa, Onyango, Nyoni, Mkude wanafanya nini Simba
Haya majibu utajibiwa mwishoni mwa msimu. Ila kwa sasa ngoja tusubirie tu vichapo kutoka timu ndogo za ndani. Zenye sifa ya kukamia mechi.
 
Mimi ni Simba ila binafsi nimefurahi Sana,Yani tunafikiri mpira ni wa baba zetu Tena katika ligi ya mabingwa unategemea upate nafasi kila dakika wakati nafasi chache tu zinaweza kutumiwa kwa ufanisi na kupata matokeo,ndo inabidi tujifunze Sasa,hii timu imecheza vile vile walivyocheza kaizer...
 
Back
Top Bottom