KING KIGODA
JF-Expert Member
- Dec 28, 2018
- 3,893
- 3,145
Nadhani kule vyumbani waliwahiwa...au kwenye basi linaloleta wachezaji ambalo mikia huweka madawa kwenye AC nako waliwahiwa...mtamkumbuka comrade Hans Pope yule ndiye aliyekuwa anaibeba Simba...Aibu hii
Tuma salamu watu watatu hapo jangwaniWamekunyoosha. Ulifikiri kila siku ni jumapili
Itakuchukua miaka 100 kujua mpira
Mtamkumbuka Hans PoppeTumetolewa Mkuu
Dah!...Nadhani kule vyumbani waliwahiwa...au kwenye basi linaloleta wachezaji ambalo mikia huweka madawa kwenye AC nako waliwahiwa...mtamkumbuka comrade Hans Pope yule ndiye aliyekuwa anaibeba Simba...
Nasikia Kuna mtu alisema mkitolewa mikia mtaandamana mkiwa uchiTumetolewa Mkuu
Msimtafute mchawi...ndio mpira huo.Barbra anatakiwa kutolea. Ameshindwa kuweka sahihi kwenye klabu. Kocha hana qualifications, Mhamasishaji kimeo. Huu ni uzembe anatakiwa kuwajibika yeye kwanza ndio kuleta nidhamu kwenye timu.
Mpumbavu falni huyu hapaNasikia Kuna mtu alisema mkitolewa mikia mtaandamana mkiwa uchi
Yaani huko ni hatari mpya,mazembe,pryamid wanazooom tu!Kitu kizito kingine
Pyramid wanangoja kwa hamu😅😅Wanasubiri droo ya shirikisho wajue watapangwa na nani kwenye play off
Umri,sasa apewe mkataba wa muda mfupi.Daaah....
La pili... Wawa kachoma...
Simba 1-2 Jwaneng
Halikuwa lengo hilo.Apana bado hatujatoka kwenye mashindano tunaenda shirikisho