Coach nae kihiyo tu..Bora hata wacheze Onyango na Inonga- Wawa ameishachoka jamani mipira ya juu haruki- kule mbele ndio kabisa - Bocco kachoka- Dilunga kachoka- Kagere kachoka- Mugalu hakuna kitu- waliosajiriwa nao hakuna kitu- shabalala na Kapombe nao shida- kwa kweli uongozi kazi wanayo.
Onyango anatuokoa kwenye mipira ya juu.. sub ya wawa why hakufanya
Bocco kazeeka,
Morisoni hajielewi..
Dirisha dogo wamuondoe kagere watafute striker