Simba SC 1-3 Jwaneng Galaxy FC | CAFCL | Simba yatolewa klabu bingwa Afrika

Simba SC 1-3 Jwaneng Galaxy FC | CAFCL | Simba yatolewa klabu bingwa Afrika

Kuna Mda kocha Unamshangaa sanaa, Na Nitashangaa Simba Wasipo Mtimua Huyu Kocha.

Kapombe kachokaa hawezi tena mpira anafanya Sub za Kipuuzi saana
Ñashangaa mtu kama Kennedy anakaa benchi dakika tisini ....mechi ambayo unaona upepo ushabadilika.....

huyu Kennedy ni kitasa Sana sema basi Tu ...mipira ya juu anacheza Sana huyu jamaa .....chek goli la pili na la tatu
 
Waliongeza hili neno "KAZI IENDELEE " hapa ndo walipojiroga msimtafute mchawi.....
 
Simba badala ya kusajili wachezaji mlisajili magari, mechi za ligi zenyewe zimewawia ngumu mmebakia kuituhumu Yanga inahonga timu pinzani, Galaxy nao wamehongwa na Yanga.
Wapumbav hao
 
Nafikiri hakuna sababu ifaayo kuelezea zaidi ya uzembe(kujiamini kupita kiasi)
 
Man u naye keshafungwa 4 na ndo half time.
Shabiki wa simba ambaye ni man u usifuatilie matokeo kafanye mambo mengine usije ukapata degedege.
 
Back
Top Bottom