Simba SC 1-3 Jwaneng Galaxy FC | CAFCL | Simba yatolewa klabu bingwa Afrika

Simba SC 1-3 Jwaneng Galaxy FC | CAFCL | Simba yatolewa klabu bingwa Afrika

Najuta hata kuja kuangalia Mechi bora ningekaa nyumbani nipike, maumivu niliyonayo Mungu anajua.
Pole sana. Wengi hatukutegemea kuwa matokeo yangekuwa ya kikatli kwetu kwa kiwango hiki, hasa baada ya matokeo mazuri ugenini. Tulishakuwa na uhakika kuwa tunaingia hatua ya makundi. Na si ajabu ukakuta mashabiki ndio tunaumia zaidi kuliko wachezaji.
 
What happened?
Hili ndilo tatizo la wachezaji na viongozi wa timu ku bet mechi wanazocheza. Hii mechi, uchunguzi ufanyike kwa makampuni ama maajenti wa biashara za kamali nchini. Betting is killing our football game.

Poleni watani zangu.
Ndugu yangu TUJI...

Usisahau AS Vita waliwahi kulalamika kwamba Makolo walipulizia dawa vyumba vya wachezaji pale kwa Mkapa!!

Mwaka huu, Baba Lao Dar es salaam Young African Sports Club walipigwa faini na CAF kwa hoja ya ku- harass timu mgeni (River United), na wakasema hayo matatizo yamekuwa yakijirudia mara kwa mara Tanzania!!!

Kila mmoja anafahamu ni Makolo ndiyo imetumia MKapa mara nyingi zaidi kwenye michuano ya CAF over the past 4 years!! Kwa maana nyingine, angalizo la CAF kwamba matukio hayo yamekuwa yakijirudia mara kwa mara Tanzania bila shaka ni angalizo lililoihusu Makolo!!

ANgalizo hilo lilishakuwa Red Flag kwa Makolo, kwahiyo wasingeweza kufanya zile janja janja zao ambazo zililalamikiwa na timu zilizokuwa zinacheza na Makolo msimu uliopita!

Ile kuingia wao kama wao, bila msaada wa janja janja; ndicho kimezaa kipigo cha NDONGA 3 pale Mkapa! Tena kichapo kutoka kwa timu ambayo ina zaidi ay mwaka mzima haijacheza ligi kwa sababu Ligi ya Botswana imesimama tangu mwaka jana!
 
WanaSimba tuweni Watulivu, Mpira ndivyo ulivyo kwa maaana ya kuwa na Matokeo Katili zaidi ya Nyati mwenye jeraha. Tumefurahi pamoja hatuna budi kuhuzunika pamoja kwa utulivu. Tukubali utani kama ambavyo huwa tunatania wenzetu hatuna budi kupunguza munkari.
Poleni WanaMsimbazi.
Nimeheshimu hii komenti na sitasema sana kuhusu matokeo mabaya ya leo kwenu wana Simba
 
Barbra anatakiwa kutolea. Ameshindwa kuweka sahihi kwenye klabu. Kocha hana qualifications, Mhamasishaji kimeo. Huu ni uzembe anatakiwa kuwajibika yeye kwanza ndio kuleta nidhamu kwenye timu.
Yaani demu wa boss awajibishwe?
 
Back
Top Bottom