Simba SC 1-3 Jwaneng Galaxy FC | CAFCL | Simba yatolewa klabu bingwa Afrika

Simba SC 1-3 Jwaneng Galaxy FC | CAFCL | Simba yatolewa klabu bingwa Afrika

😁😁😁
0qJ27.jpg
 
haijacheza ligi kwa sababu Ligi ya Botswana imesimama tangu mwaka jana!
Hapa mkuu umenifumbua macho. Makolo walikuwa kumbe janjajanja!!! Unaweza kuwa sahihi mkuu, kwani kuna uwezekano mfadhili mkuu ndiyo maana alikimbia majukumu ya uongozi baada ya kugundua hakuna janjajanja msimu huu. Ha ha haaa!
 
Unajua Barbara kajichekesha chekesha sana kule CAF... sasa mtoto wa kike kwa mwanaume ni mtoto wa kike tu!! Na kwavile CAF walishashtukia janja janja ya Makolo, ndo wakaamua kuwatumia ujumbe wa kuiadhibu Yanga huku wakisema "haya matukio yanatokea mara kwa mara"!!

Usikute hata huyo Mwamedi alishanusa hatari, akaamua kukaa pembeni!!
 
Binafsi nafikiri kuwa hii Sasa ndiyo timu ya huyu kocha Gomes ile ya msimu uliopita siyo yake, hii Sasa ndiyo yake ngoja tumuone Sasa mechi zinapozidi kwenda pia vile vile nafkiri Simba imesajili wavulana ila Hilo nalo tunahitaji muda zaidi kuliona...
 
Mnauza Key Players wawili kwa mpigo alafu mnategemea timu ibaki na nguvu ile ile...wangemruhusu mmoja kwanza mmoja abaki ili wachezaji wapya wakomae.
 
Back
Top Bottom