Simba SC 1-3 Jwaneng Galaxy FC | CAFCL | Simba yatolewa klabu bingwa Afrika

Simba SC 1-3 Jwaneng Galaxy FC | CAFCL | Simba yatolewa klabu bingwa Afrika

Kwani simba ilishakua na mafanikio gani makubwa hili mashabiki waumie kiasi hicho chakutaka wachezaji wapigwe risasi.Tusijipaishe sana kuliko uhalisia.Safari ya simba kufikia mafanikio makubwa haiwezi kua kwa kipindi kifupi hivi.Yaani ndani ya miaka 4 uwe timu yakutisha,sio kirahisi kihivyo.Hizo hatua tulizokua tunafika nikwasababu Timu nyingi kubwa Afrika zimepoteza viwango na sisi kwasehemu kubwa tulikua tunakutana za timu za size yetu,kwahiyo tumekua tukienda kinamna namna hivyo hivyo.Chamsingi ni wahusika wajenge timu itakayokua na spirit ya ushindani.
Mafanikio yao yalikuwa ya chupli chupli

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Mazembe ajafungwa nyumbani Ila katolewa kwa goli la ugenini. Ugenini 0-0 Lubumbashi 1-1. Simba licha ya kutolewa kwa goli la ugenini Ila imefungwa kwa Mkapa.
Na ndiyo timu pekee iliyofungwa kwenye uwanja wa nyumbani kwake kwenye hiyo michezo ya mwisho!
 
Uzi wa makhirikhiri huu. Dah uliweza kunipa raha ssna huu uzi. Furaha yngu kuona makolo wanatesek
 
Leo nitakua kwenye huu uzi
1686480130269.jpg
 
Hii isijirudie tunataka timu 2 za TZ zitinge makundi CAF champions league.
 
Back
Top Bottom