Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa mkapa hatoki mtu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Itabd tumulze babuula[emoji1787][emoji1787]Mwijaku ashavua nguo aanze kutembea au hadi asubuhi?
Kwamba mikia huwa mnasikitika Yanga ikishindwa?Furaha ya yanga inategemea na kushindwa kwa simba
😂😂😂😂Kwamba mikia huwa mnasikitika Yanga ikishindwa?
Ndiyondiye alikua anacheza?
Nikweli mkuu wameuza ila kitu cha muhimu udhaifu umeonekana naamin tunayo nafasi nyingine kombe la shirikisho take it simple mkuu usikate tamaa kila kitu kitakaa sawa tuNimeamua kuchukua break ya kupumzisha moyo wangu nilifanya hivi kwa arsenal and it worked out leo arsenal ifunge ifungwe mi.poa tu
Moyo umeuma sana aisee unashabikia kwa moyo watu wanauza game kama ile ya south ya kaizer chiefs kesho unasikia tu zimbwe kafungua duka anauza samaki wa baharini,boko kamvua mtu jumba tabata manula kanunua jumba.kubwaaa waseeeeenge nyie kama hela zenu za halali mbarikiwe kama mnauza mechi mlaaniwe na vizazi vyenu na wastaafu kina wawa wanachukua rushwa za mwishomwisho
Mkuu, T.P walitoka sare ya 1:1 au walipoteza kabisa?T.P Mazembe naye kashuswa Shirikisho na Amazulu tena kafungwa Nyumbani kama Simba.
South walitoka 0:0 Congo 1:1 Amazuru wamepita kwa goli la Ugenini. Mazembe walichomoa dakika za majeruhi.Mkuu, T.P walitoka sare ya 1:1 au walipoteza kabisa?
Mazembe ajafungwa nyumbani Ila katolewa kwa goli la ugenini. Ugenini 0-0 Lubumbashi 1-1. Simba licha ya kutolewa kwa goli la ugenini Ila imefungwa kwa Mkapa.Hakuna timu isiyofungwa duniani, na mara nyingi unapofungwa unapata cha kujifunza.
Usikate tamaa Simba bado ipo katika mashindano ya Shirikisho na tutafika Makundi.
Mpira ndivyo ulivyo
A.S. Vita katolewa kabisa.
T.P Mazembe naye kashuswa Shirikisho na Amazulu tena kafungwa Nyumbani kama Simba.