Simba SC 1-3 Jwaneng Galaxy FC | CAFCL | Simba yatolewa klabu bingwa Afrika

Simba SC 1-3 Jwaneng Galaxy FC | CAFCL | Simba yatolewa klabu bingwa Afrika

Simba ya siku hizi😁😁😁
2783672_20210515211437.jpg
 
Nadhani kule vyumbani waliwahiwa...au kwenye basi linaloleta wachezaji ambalo mikia huweka madawa kwenye AC nako waliwahiwa...mtamkumbuka comrade Hans Pope yule ndiye aliyekuwa anaibeba Simba...
Dah!...
 
Yan wachezaj wetu hawako agressive pale wanaposhambulia yan wapo wapo tu wanakosa magoli kizembee wala hawajutiii wanaona Sawa tu
 
Barbra anatakiwa kutolea. Ameshindwa kuweka sahihi kwenye klabu. Kocha hana qualifications, Mhamasishaji kimeo. Huu ni uzembe anatakiwa kuwajibika yeye kwanza ndio kuleta nidhamu kwenye timu.
Msimtafute mchawi...ndio mpira huo.
 
Daaah....

La pili... Wawa kachoma...

Simba 1-2 Jwaneng
Umri,sasa apewe mkataba wa muda mfupi.
Atafutiwe kozi za aina nyingine kama ukocha imsaidie baada maisha ya soka.
 
UKITAKA KUJUA KUWA WATANZANIA WANA MAJUNGU SOMA HUU UZI.

WENGINE HATA KADI HAWANA ILA WANAJIFANYA SIMBA LIA LIA.

HAO GALAXY UWEKEZAJI WAO NI ZAIDI YA SIMBA MSIWACHUKULIE POA.

DHARAU SIO NZURI KWENYE SOKA.

KAMA BIASHARA AU NAMUNGO INAWEZA KUMDINDIA SIMBA SEMBUSE GALAXY???!!!

MSIENDE UWANJANI NA MATOKEO YENU, NDOROOOBO WAKUBWA NYIE.

HAPA MNATAKA KUANZA KUZUA MGOGORO. MPIRA UNA MATOKEO MATATU.
 
Back
Top Bottom