Simba SC 1-3 Jwaneng Galaxy FC | CAFCL | Simba yatolewa klabu bingwa Afrika

Simba SC 1-3 Jwaneng Galaxy FC | CAFCL | Simba yatolewa klabu bingwa Afrika

Amesikika MSUKULE akiomba Mechi na Simba....! Aache Wanaume wapambane. Muda utafika.

Ni nani alimpatia jina La Msukule? Ni Jerry Muro au NUGAZ?
Yanga wanajipatia Majina Wenyewe alafu Yana click..!!
 
Amesikika MSUKULE akiomba Mechi na Simba....! Aache Wanaume wapambane.Muda utafika.

Ni nani alimpatia jina La Msukule ? ni Jerry Muro au NUGAZ ?
Yanga wanajipatia Majina Wenyewe alafu Yana click..!!
Jerry Muro, ila Nugaz akalipa umaarufu zaidi🤣
 
Back
Top Bottom