Simba SC 1-3 Jwaneng Galaxy FC | CAFCL | Simba yatolewa klabu bingwa Afrika

Simba SC 1-3 Jwaneng Galaxy FC | CAFCL | Simba yatolewa klabu bingwa Afrika

Wakati wengine wakikomalia kubadilishiwa logo ya NBC, simba inafikiria hii fainali itakutana na nani


Na ligi kuu inafikiria ni mkono gani mwaka huu wautumie kupokelea kombe
 
Wanaume wanatoka jasho kuwapambania wengine ila wanaleta upuuzi... TFF wanaakili, wawakilishi wa Afrika Mashariki na Kati wanampa heshima inayostahili... Ni muda sasa CAF wa kuifanya Simba wacheze makundi bila kupitia mtoano....

-Kubwa jinga Uto mapema tuuu kafumuliwa nje ndani..
-Azam wamejitahidi tahidi...
-Biashara wale wapumbavu hawajielewi acha tuu wafungiwe kucheza CAF...
 
Hawa wachambuzi wa azam wanafki sana, eti kwa mpira waliocheza galaxy kuna mahala umewaona wamekosea?

Wachezaji hawajakosea ila timu waliyokutana nayo ndio kisanga, vitu vingine hivi ni kulaumisna tu kwasababu hayajakufika wewe
 
Hawa wakirudi hawatashambulia watakuja na mbinu ya kurudi nyuma Simba isiongeze magoli
 
Kama yule BARUTI kajituma sana kapiga mipira yote kwa usahihi kabisa, lakini swala la kufungwa huwa halihusiani na wao kukosea

Hivi hawa galaxy hawakuona mechi ya Simba na Al Ahly ilikuwaje? Au Botswana hakuna azam sports
 
Back
Top Bottom