Simba SC 1-3 Jwaneng Galaxy FC | CAFCL | Simba yatolewa klabu bingwa Afrika

Simba SC 1-3 Jwaneng Galaxy FC | CAFCL | Simba yatolewa klabu bingwa Afrika

Simba wanaibeba nchi Duniani,duh Simba ni noma.
Shida ni wapuuzi wengine wanachafua jitihada za Simba kwa kufungwa nje ndani michuano ya kimataifa.

Next time tutachagua wa kwenda nao, hatuwezi vuja jasho kiasi hiki halafu wao wanaishia kucheza mnanda uwanjani.
 
Wamechomoa goli moja bado mawili, ningekua mimi ningekata tamaa tu
 
Back
Top Bottom