OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Simba wanaibeba nchi Duniani,duh Simba ni noma.
Shida ni wapuuzi wengine wanachafua jitihada za Simba kwa kufungwa nje ndani michuano ya kimataifa.
Mwakilishi pekee wa Afrika mashariki na Kati ikiwemo Kongo
KafrweAsante refa kazi yako inaonekana dhahiri shahiri