HakikaSimba ni kubwa mnooooo!!
Ni kweli aiseeGroup stage Simba tunawataka Al Ahly Esperance de Tunis.
Uzembe mkubwa sana sana kufungwa goli kama lile kwa hatua hizi.Wawa na Manula wametegeana
Hakuna anaetoka kwenye hii hatua broTukitolewa leo baadhi ya wachezaji wakatafute timu mpya
Ukae kwa kutulia blaza.....Simba wanaibeba nchi Duniani,duh Simba ni noma.
Shida ni wapuuzi wengine wanachafua jitihada za Simba kwa kufungwa nje ndani michuano ya kimataifa.
Hata mimi naona.....Hawa wachache sana kwetu lazima tupite nao tu