Utopologist
JF-Expert Member
- Feb 17, 2021
- 998
- 2,506
Tunakwenda shirikisho,Hakuna anaetoka kwenye hii hatua bro
Sema n aibu sana kufungwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunakwenda shirikisho,Hakuna anaetoka kwenye hii hatua bro
Sema n aibu sana kufungwa
Nini kwani, wewe unaoje mzee. Simba anashinda hii mechi na makundi anapita pia.Ukae kwa kutulia blaza.....
...Tukitolewa leo baadhi ya wachezaji wakatafute timu mpya
Wataje mzee. Mie naanza na wawa.Tukitolewa leo baadhi ya wachezaji wakatafute timu mpya
Bado moja moja tu muwe nje ya michuano ama huoni hiloNini kwani,wewe unaoje mzee.Simba anashinda hii mechi na makundi anapita pia.
Bocco, MorissonWataje mzee. Mie naanza na wawa.
Mbona mapema mkuuTukitolewa leo baadhi ya wachezaji wakatafute timu mpya