Simba SC 1-3 Jwaneng Galaxy FC | CAFCL | Simba yatolewa klabu bingwa Afrika

Simba SC 1-3 Jwaneng Galaxy FC | CAFCL | Simba yatolewa klabu bingwa Afrika

Bado moja moja tu muwe nje ya michuano ama huoni hilo
Magoli ya waliyofunga hawa jamaa yanawakata midomo nyinyi mliokua mkisema hii timu ni Ihefu ya bongo hawana uwezo.
Tulia sasa mshajua ni timu ngumu na ina uwezo, Simba anapitia hatua ngumu sana mpaka kuwapatia nyinyi viroboto nafasi za free kucheza michuano ya kimataifa.
 
Hii mnaenda mbele kinyongeeeee.

Tunaweka std msimu huu kuwa kwa mkapa patakuwa rahisi.

Ilibidi hawa wapigwe hata 5,pazidi kuogopesha hapo.
 
Back
Top Bottom