Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Trust the process
Tukitolewa leo baadhi ya wachezaji wakatafute timu mpya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tukitolewa leo baadhi ya wachezaji wakatafute timu mpya
Unafikiri KMC hii?Katimu kabovu kanawasumbua namna hii!
Timu mbovu hazipo mashindanoni, zilitolewa raundi ya awaliKatimu kabovu kanawasumbua namna hii!
Magoli ya waliyofunga hawa jamaa yanawakata midomo nyinyi mliokua mkisema hii timu ni Ihefu ya bongo hawana uwezo.Bado moja moja tu muwe nje ya michuano ama huoni hilo
Kagere hana msaada... Akae tuu benchi....Mechi ngumu na muhimu uwaweka watoto weka Kagere.
Kwahiyo hamkwenda kuwaroga? Wala vyumbani hamjamwagia vumbivumbi?Tuliwa-underrate sana
Kuelekea wapi?Simba hata akipita hapa safari yake fupi.
Kama huo mwiko huko nyuma!?Simba hata akipita hapa safari yake fupi.