Simba SC 1-3 Jwaneng Galaxy FC | CAFCL | Simba yatolewa klabu bingwa Afrika

Simba SC 1-3 Jwaneng Galaxy FC | CAFCL | Simba yatolewa klabu bingwa Afrika

Vyura mna kelele sana yani na roho mbaya ndo kawaida yenu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji39][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hamna cha aibu, bado tunayo mengi ya kujifunza katika soka. Sajili za kijanja janja unategemea maajabu
 
Simba hawako aggressive kabisa pale wanaponusa hatari

Wanacheza kibishoo hata katika nyakati mbaya sn..Refa ametupa mida wa ziada wa kutosha tumembwela..dah!

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Daah tutafanyaje sasa ndo hivyo tushapoteza shindano
Hii mechi ilikuwa siyo ya kufungwa hata kidogo! Simba ya sasa imekosa kabisa wachezaji wa kazi kazi kama ilivyo kuwa msimu uliopita.

Poleni sana watani. Ni wakati sasa kila timu kupambana na hali yake. Binafsi nitafarijika sana iwapo msimu ujao zitashiriki timu mbili tu, ili tuwakilishwe na wababe halisi kwenye mashindano yajayo ya kimataifa.
 
Back
Top Bottom