Simba SC 1-3 Jwaneng Galaxy FC | CAFCL | Simba yatolewa klabu bingwa Afrika

Barbra anatakiwa kutolea. Ameshindwa kuweka sahihi kwenye klabu. Kocha hana qualifications, Mhamasishaji kimeo. Huu ni uzembe anatakiwa kuwajibika yeye kwanza ndio kuleta nidhamu kwenye timu.
 
Kufungwa sio poa lakini ndio matokeo ya mpira, tumepoteza kwakuwa tulienda na matokeo yetu mifukoni, tulijiona tumeshavuka, niseme tu ukweli beki zetu kushoto kulia kwa sasa wamechoka sana, na kocha kwakweli mbinu zimemuishia, unatoa boko unaingiza kagere tunashambuliwa, bado dakika tano aisee, mimi namkubali sana Zahera sijui simba walichelewa nini kumchukua, wengine wamejazwa tu pale hamna lolote kiukweli, ligi itakuwa ngumu sana kwetu kama hatutabadilika, kuna watu simba kiukweli wanachezea majina tu kimpira wameshaelekea kibra.
 
Barcelona inafungwa sembuse simba? Over confidence ndo ttz
Wale wazee na umri wao hawaijui game management? wanaongoza 3-0 aggregate wanafeli wapi? wachezaji wa Simba ni wazee lakini akili za kitoto, magoli wanayoruhusu yanaonesha hata common sense hawana.
 
Kufungwa sio poa lakini ndio matokeo ya mpira, tumepoteza kwakuwa tulienda na matokeo yetu mifukoni, tulijiona tumeshavuka, niseme tu ukweli beki zetu kushoto kulia kwa sasa wamechoka sana, na kocha kwakweli mbinu zimemuishia, unatoa boko unaingiza kagere tunashambuliwa, bado dakika tano aisee, mimi namkubali sana Zahera sijui simba walichelewa nini kumchukua, wengine wamejazwa tu pale hamna lolote kiukweli, ligi itakuwa ngumu sana kwetu kama hatutabadilika, kuna watu simba kiukweli wanachezea majina tu kimpira wameshaelekea kibra.
Mlizidi midomo wakati hamna timu
 
Back
Top Bottom