Simba SC kwanini mnazubaa na kuwa wazembe hivi?

Mogela alienda yanga Kwa sababu baadhi ya viongozi wa Simba walimkataa na Wala sio sababu ya pesa.
Halafu nashangaa kusikia yanga wanamtaka Chama wakati wanaye feitoto na Aziz K ambao wamemzidi uwezo Chama.
Ishu ya Mogela na viongozi ilikuwaje?. wengine hatufahamu kama unaweza weka nyama kidogo maana Jamaa nilimkubali sana ,Golden Boy Zamoyoni Mogela.
 
Kwa mujibu wa utafiti watanzania wengi Wana matatizo ya akili, šŸš¶šŸš¶šŸ˜ŽšŸ˜Ž
 
Badala ya kujibu hoja ya Mleta uzi umeleta stori za kusadikika.

Kama Manzoki anaipenda Simba na akaenda China ni vipi isiwezekane bado kuipenda Simba akaenda Yanga?.
Na ndio maana unaona sijajibu hoja kumbe huzisomi, hicho ulichokiandika kuna mwenzako alikiandika

Kutokufuatilia kwako ndio kunafanya uone hilo ni swali jipya na kwamba sijibu hoja
 
Unga alianza manji na tuna mashaka hata huyu alifundishwa na Manji

Swala la ulozi tuwaulize nyinyi ambao kila siku tunapokutana kwenye derby mnaingia uwanjani kinyume nyume tena katika mlango usio rasmi

Yanga maisha bomba wayatoe wapi? kwa kipi hasa?

Juzi tu hapo mlishindwa kukodi flight ya private kwenye mechi yenu na Club Africain mkalazimika kupanda ya abiria halafu unakuja kutamba eti maisha bomba, huo ubomba uko wapi kama hapo?
 
Ishu ya Mogela na viongozi ilikuwaje?. wengine hatufahamu kama unaweza weka nyama kidogo maana Jamaa nilimkubali sana ,Golden Boy Zamoyoni Mogela.
Kuna viongozi wapuuzi ndio wanaostaafisha wachezaji mapema aliporudi toka uarabuni akataka kusajiliwa Simba ila viongozi wakadai uwezo wake umeisha ndio akaenda upande wa ki
 

Katika hao niliotaja, yupi alitolewa kwa mkopo? Wote hao walitikisa nchi kwa top performance
 
Manzoki mara kadhaa ameonesha nia yake ya wazi ya kutaka kujiunga na Simba. Nitakuwa wa mwisho kuamini kama ataenda Yanga. Naona zile zile kelele tulizokuwa tunaaminishwa kuhusu Chama zinaanza kwa Manzoki
 
Kwanini Yanga ilishindwa kumchukua Chama kama hakuna mapenzi binafsi ya mchezaji kwa club?
 
Mimi nadhani tusubiri, muda utaamua. Dirisha dogo linafunguliwa wiki ijayo tu wala sio mbali
 
Bora shule zifunguliwe maana mna utoto sana kichwani.

Yaani mtu aache hela kisa anapenda timu fulani?
We kima mtoto mbona ngassa aliacha mapesa ya al merreikk ili tu aje acheze dabi ya uto vs simba
 
Vipi ngassa kukacha pesa za wasudani ili tu aje akipige kwenye timu yake ya moyoni ulikuw mdogo kipindi hicho?
 
Aliemtoa zenj fei ndie aliemsainisha fei utopolo dakika saa chache tu baada ya kusaini singida utd
Na mmiliki wa fei ni mwigulu nchemba uto dam dam na alimleta utopolo baada ya kuona timu yenu haina uwezo wa kusajili wachezaji wazuri (ukata)
 
Hata Phiri, Putin(Kanoute) na Okrah wanahusishwa kwenda Utopwenga/ Utopwinyo
 
Aliemtoa zenj fei ndie aliemsainisha fei utopolo dakika saa chache tu baada ya kusaini singida utd
Na mmiliki wa fei ni mwigulu nchemba uto dam dam na alimleta utopolo baada ya kuona timu yenu haina uwezo wa kusajili wachezaji wazuri (ukata)
Acha ubishi wewe! Nilifuatilia mahojiano yake mwanzo mwisho! Mchezaji amesema mwenyewe alipokuja Bara kutaka kusajiliwa, kituo cha kwanza kilikuwa ni Msimbazi!

Na baada ya kushindwana kwenye suala zima la maslahi, ndipo alienda Sindida United, na baadaye Yanga! Sasa kama mchezaji mwenyewe amesema hivyo, wewe ni nani mpaka upinge?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…