Simba SC yaipiku Yanga SC kwa kila kitu CAFCL

Mpira haukogo hivyo broo,simba na yanga hazijawahi kuombeana mazuri Na haitokuja kutokea
Simba na yanga ni km ccm na chadema hakuna kuombeana mazuri ni undava undava tu... Kwa kumalizia nasema hivi " YANGA NI WASENGEEH
 
Kuifananisha Yanga na Simba ni makosa, Yanga ni timu inayochipukia
 
Kuna utani wa mpira naweza kuelewa lakini linapokuja suala ka afya ya mtu hakuna utani. Huo siyo utu.
Lakini labda nikukumbushe kuhusu ubora wa timu yako.
Simba imefunga magoli 9 katika mechi 6 sawa na Yanga. Lakini katika hayo magoli 9 sita yamefungwa mechi ya mwisho. Ina maana katika mechi tano za kwanza timu yako imefunga magoli matatu tu! Wastani wa 0.6 goals a game! Dalili za match fixing.
Kwenye quarter finals hakuna mchekea.
Nimeangalia karibu mechi zote na naweza kukuambia bingwa msimu huu atatoka timu zilzokuwa group D no wuestion about it.
 
Wewe ni mfugo mwingine wa mangungu, goli 6 za kumfunga jwaneng ambayo nafasi yake kwenye rank za fifa aijulikani unaanza kulinganisha na Belouzdad inayoshika nafasi ya 7 kwenye rank za fifa iliyochakazwa goli 4 mtungi? Kiwango Cha jwaneng ambayo ni Kama Ruvu shooting ya masau bwire ndiyo unajitapa hapa kwamba umeifunga timu ya maana? Na bado pamoja na ubovu wao mlishinda mnaloga mwanzo mwisho🤔🤔
Mko sawa vichwani nyie?
 
Acha izoo mkuuu umejuaje je ushawahi kumuona kwa Nini unapenda kudhalilisha wanawake
Mimi mbona namjua huyo vizuri kuwa ni she au umeiandika ili kujifurahisha hapa wewe embu jitahidi kuwa na heshima
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka hadi baas. Ila JF bhana.
Haya piganeni nyie wenyewe wana uto, afu mie ntaleta dawa ya kutuliza maumivu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka hadi baas. Ila JF bhana.
Haya piganeni nyie wenyewe wana uto, afu mie ntaleta dawa ya kutuliza maumivu.
😂🤣😁 Kijana anaona wewe ni mwanaume wakati wewe ni mtoto wa kingoni una bonge la shepu 😋 kijana hapa inafaa aombe msamaha
 
Medeama mlimfunga ngapi? Na rank yake ya FIFA ikojee?
Afu nikustue sio FIFA ni CAF. upoo hapoo bwasheee??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji1787][emoji16] Kijana anaona wewe ni mwanaume wakati wewe ni mtoto wa kingoni una bonge la shepu [emoji39] kijana hapa inafaa aombe msamaha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] majini uchwara ya Avic town yanawaharibu wenzio ujue, na huu ushindi wa [emoji881]ndo wanavurugwaa mbayaa.

Huenda anataka nimkazee, akujee nna De bolo tena tango haswaa.
[emoji23][emoji23][emoji23], watu waliochanganyikiwa huwa nawataka sana
 
mkuu 4 kafungwa boluzdad ya 7 kwa ubora jwaneng yu wapi?
Unaongea upuuzi maana hata kule failure cup mlivyomfunga malumo garants wa daraja la kwanza pia mlitupigia kelele so tushawazoea...

Super league

Simba sc 1 vs al ahly 1
Al ahly 2 vs Simba sc 2

Nyie utopolo mkasema al ahly mbovuuu

Ila juzi mmekandwa na hao Al ahly mnadai mmefungwa na timu bora Afrika,[emoji23][emoji23][emoji23]

Ukiwa mshabiki wa utopolo lazma dish liyumbe kwanza pumbavu zenu.....

6
[emoji460] [emoji460] [emoji460] [emoji460] [emoji460] [emoji460]

Sisi ni SIMBA SC ndio mambo yetu haya.
 
Aisee bro ume mistook konyagi from tea!
Tizama kundi alilocheza Yanga na tizama kundi alilocheza Simba.
Yanga hajakutana na mnyonge hata mmoja Al ahly,CRB,Medeama wote hakuna mnyonge.
Simba imeifunga TIMU YA VILEMA JWANENG GALAXY UTAIFANANISHAJE NA BELOUZDAD??
Embu wape heshima yao Yanga.
Kwa hao wachezaji waliopo simba ngojea ikakutane na timu iliyo serious na kucheza halafu tuje tuongee hapa.
 
Kijana kachanganyikiwa sana inabidi aje kuomba msamaha kwa Binti wa kingoni hapa
 
Hapo ulipo umejaa kinyesi....

Kwahiyo CASABLANCA nao waliotupwa nje ya kundi unawazungumziaje?
Alafu ukute una familia na inakutegemea kwa utopolo huu
 
Akili ya mwanaYanga: Belouz kafuzu robo fainali mara tatu sio kibonde, Simba anayefuzu mara ya 5 hii ni kibonde.
 
Na medeama mlimfunga ngapi? Naye yu wapiii?
Kama kweli unaujua mpira huwezi ifananisha Medeama na Jwaneng.
Medeama ile timu ilimpiga belouzdad mbili kaitizame ile game kesha urudi.
Medeama ina wachezaji wanaonyumbulika,wana tactics,wana kasi,wana fitness ya ajabu pia katikati wako vizuri sehem ya kiungo.
Hii Medeama ingepangwa na simba pangechafuka humo.
 
1.Simba
2.Al Ahly
3.As Vita
4.Al Elmereik
Hawa nao walikuwa vilema UTO.BASI TUMEKUBALI YANGA NI BORA KULIKO TIMU ILIYOINGIA ROBO FAINALI MARA SITA NDANI YA MIAKA SABA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…