Hiyo mbili umeitolea wapi?Taarifa ya nini wakati sheria inaruhusu timu ya ugenini ifanye mazoezi angalau mara mbili muda wa mechi itaochezwa kabla ya siku ya mechi?
Weka hiyo sheria inayotaka timu inatakiwa itoe taarifa kwa meneja
Hili Jambo uliloandika kama anapelekwa na ushabiki huwezi kuliona lakini chanzo cha tatizo Kiko hapo na watu hawasemi Kwa makusudi na kuhimizana kutopeleka timu uwanjani.Hii kesi ni ndogo tu,tunahitaji barua au barua pepe ya kuthibitisha kuwa Simba ametoa taarifa ya kwenda kufanya mazoezi,wasijizonge na kuleta siasa katika mpira.
Mechi ipo
Muwa utaliwa na wao watapigwa muwaSimba wanajificha kwenye kivuli cha muwa 😀😀
Uchawi umebuma, Yanga ni timu mwenyeji lakini ni lini umewana Yanga wanakwenda kufanya mazoezi yao pale kujiandaa na dabi?Apewe ubongo huyu jamaa
Lazima ujiongeze🤣😂😎Watani zangu saa hizi muliicheck jumamosi kisha mukaicheck tarehe nane mkaona hapana kutakuwa na dhahma.
Bill
mtzedi
Mtoto halali na hela
Ila niwapongeze. 🤣🤣
Kanuni ya 45 inasema timu mgeni itafanya mazoezi angalau mara 1 kwenye uwanja wa Mechi kabla ya siku ya Mechi. Haijasisitiza iwe siku 1 kabla ya Mechi Kwa hiyo Kanuni hiyo inatoa wajibu Kwa timu mgeni kusema atakwenda lini. Unayosema ni kama vile Simba ingeweza kujiamulia kwenda siku na Muda wowote inataka?Wabongo huamini katika fadhila na sio kusimamia haki zao..
Sheria imetaka hivi, halafu wewe unasema taarifa. Taarifa kwenye kufuata taratibu?
Yaani palepale getini wangetakiwa wafunguliwe waingie na si vinginevyo... Mnafeli wapi wanadamu?
Sio mzima huyoUliwaona mkuu au nawewe ni komandoo.
Unapongeza ama una nangaWatani zangu saa hizi muliicheck jumamosi kisha mukaicheck tarehe nane mkaona hapana kutakuwa na dhahma.
Bill
mtzedi
Mtoto halali na hela
Ila niwapongeze. 🤣🤣
Safi kumbe inaruhusiwa angalau mara moja sasa kwanini mmewazuia?Hiyo mbili umeitolea wapi?View attachment 3263303
Onyesha kuku mbuzi na hao wazee ili nikuonyeshe kifunguKuku na Mbuzi pamoja na wale Wazee usiku wanafuata nini uwanjani? Kanuni gani inayoruhusu hilo kufanyika? Onyesha kifungu
Kuna utofauti wa kauli hapoWasifike uwanjani Leo ili tuone kama Kanuni inasema usipofanya mazoezi siku ya mwisho Mechi itaahirishwa.
Simba ilifika uwanjani Yanga hawakutokea.Baadae nini kikatokea?
Kauli sahihi ni hii hapa, mengine ni mauzauza na maluweluweunadhani wataelewa na ramadhani hii + Kwaresma, jua linawaka
Kwani lini kuliwahi kuwa na sheria inayoruhusu timu kususia mechi pindi tu bodi ya ligi itapotangaza mabadiliko ya ratiba ya mechi husika?Usiwe mbishi nenda kasome kanuni za ligi zinasemaje kukataliwa kufanya mazoezi ya mwisho sio kigezo cha timu kugombea mechi Kuna kanuni zinaelekeza adhabu zipi zitatolewa but sio timu kugomea mechi ilo ni jambo jingine kabisa